GET /api/v0.1/hansard/entries/1199139/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1199139,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1199139/?format=api",
"text_counter": 365,
"type": "speech",
"speaker_name": "Shinyalu Constituency, ANC",
"speaker_title": "Hon. Fred Ikana",
"speaker": null,
"content": " Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipatia fursa hii nichangia Hoja ya leo. Kabla niunge mkono Hoja hii ya mama wetu Elsie kuhusu malisho kwa watoto wetu shuleni, niruhusu kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutuwezesha kufika siku ya leo. Pia, kwa kutupatia nguvu za kupitia yale yote tuliyoyapitia wakati wa kampeini na kuweza kufaulu na kupata upenyo."
}