GET /api/v0.1/hansard/entries/1199140/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1199140,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1199140/?format=api",
"text_counter": 366,
"type": "speech",
"speaker_name": "Shinyalu Constituency, ANC",
"speaker_title": "Hon. Fred Ikana",
"speaker": null,
"content": "Siku ya leo natuma shukrani zangu za dhati kwa wananchi wote wa Shinyalu ambao walinipigia kura kwa wingi katika wadi zote sita. Pia ningependa kuwashukuru wale wote ambao walisimama pamoja nami wakati huo wa kampeini. Namshukuru Mhe. Rais kwa kusimama nami wakati wa kampeini, Mhe. Naibu wa Rais na pia kinara wangu wa Chama cha"
}