GET /api/v0.1/hansard/entries/1199143/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1199143,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1199143/?format=api",
    "text_counter": 369,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Shinyalu Constituency, ANC",
    "speaker_title": "Hon. Fred Ikana",
    "speaker": null,
    "content": "Nikishamaliza kuwashukuru hao, ningependa kuwahakikishia wananchi wa Shinyalu kwamba wakati wa kampeini, niliwapatia ahadi na nitazitilia mkazo. Nitahakikisha kwamba nimezitekeleza, kutumia nguvu zangu zote pamoja na ule ushawishi ambao nafasi hii ya kuwaakilisha katika Bunge hili la Kitaifa itanipatia. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}