GET /api/v0.1/hansard/entries/1199145/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1199145,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1199145/?format=api",
"text_counter": 371,
"type": "speech",
"speaker_name": "Shinyalu Constituency, ANC",
"speaker_title": "Hon. Fred Ikana",
"speaker": null,
"content": "Kando na mambo ya masomo, ningependa pia kutilia mkazo mambo ya usambazaji wa nguvu za umeme kwa sababu maeneo mengi katika Eneo Bunge la Shinyalu hayana stima. Najua tutaungana pamoja na Wabunge wezangu ambao pia wako na changamoto kama hizo, ili tuweke vichwa vyetu pamoja na tusukume idara mbalimbali za Serikali zitupatie fedha ambazo zitatuwezesha kutimiza mambo hayo."
}