GET /api/v0.1/hansard/entries/1199146/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1199146,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1199146/?format=api",
    "text_counter": 372,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Shinyalu Constituency, ANC",
    "speaker_title": "Hon. Fred Ikana",
    "speaker": null,
    "content": "Nikimalizia, niruhusu pia nimuunge mkono mama wetu Elsie Muhanda kwa hii Hoja ambayo ameleta siku ya leo ya lishe bora kwa wanafunzi shuleni. Najua kwamba watu wengi katika nchi yetu ya Kenya, na sio Shinyalu pekee, wamesongwa na hali ngumu ya kimaisha. Ikiwa tutaweza kupata mpango huu wa kuwalisha wanafunzi shuleni, niko na imani ya kwamba hali ya kimasomo itaimarika na pia magonjwa ambayo yanatokana na utapiamlo yataweza kupungua."
}