GET /api/v0.1/hansard/entries/1199643/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1199643,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1199643/?format=api",
"text_counter": 433,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Asante, Bw. Spika wa Muda kwa kunipa fursa hii. Nataka kuchukua fursa hii kumpongeza Sen. Ali Roba kwa Hoja hii ambayo imeletwa wakati unaofaa. Ni ukweli ya kwamba hili janga la njaa limekumba sehemu nyingi za nchi yetu ya Kenya. Ukitembea sehemu za Laikipia Magharibi, Kaskazini na hata Mashariki, utapata watu wanasononeka kwa sababu ya njaa. Watoto hawaendi shule."
}