GET /api/v0.1/hansard/entries/1199972/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1199972,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1199972/?format=api",
    "text_counter": 273,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Mombasa CWR, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
    "speaker": null,
    "content": " Asante sana Mhe. Naibu Spika. Ninakupongeza kwa nafasi uliyoipata kama Naibu Spika wetu. Pongezi sana. Kuhusu maswala ya ukame na yale yanayogusia wenzetu wa Kaskazini Mashariki hasa, kuna mjadala mzito ambao umeletwa na Mjumbe wetu wa Garsen, Mhe. Ali Wario. Ningependa kuwaelezea kwa kina. Wengine wetu hapa pengine tunajadili tu ilhali hali halisi iliyoko kule mashinani hatuijui. Kuna mama ambaye mtoto wake atakapokufa, atawalisha wengine huo mwili kama kitoweo cha nyama. Hiyo ni hali tata na ngumu sana. Ningependa The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}