GET /api/v0.1/hansard/entries/1200013/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1200013,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1200013/?format=api",
    "text_counter": 314,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kisauni, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Rashid Bedzimba",
    "speaker": {
        "id": 13383,
        "legal_name": "Ali Menza Mbogo",
        "slug": "ali-menza-mbogo"
    },
    "content": " Asante sana, Mhe. Naibu Spika kwa kunipatia fursa ya kupenyeza sauti yangu katika janga hili la ukame. Lakini, kabla ya hayo, nachukua nafasi hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kuniwezesha kuwa katika Bunge la Kumi na Tatu. Kama sio uwezo wake, singekuwa hapa. Nina imani nitafanya mema wakati huu wa kipindi hiki cha miaka mitano."
}