GET /api/v0.1/hansard/entries/1200015/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1200015,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1200015/?format=api",
    "text_counter": 316,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Kisauni, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Rashid Bedzimba",
    "speaker": {
        "id": 13383,
        "legal_name": "Ali Menza Mbogo",
        "slug": "ali-menza-mbogo"
    },
    "content": "Bunge hili, ili wote wapate fursa ya kuzungumza. Nachukua nafasi hii pia kushukuru familia yangu kwa kunipa moyo na nguvu wakati wa kampeni, ili nisirudi nyuma mpaka nikapata ushindi. Nawashukuru sana. Pia, nichukua fursa hii kuwashukuru wangwana wa Kisauni kwa kunichagua kuwa Mjumbe wao na kwa kuniamini ili niweze kuwaakilisha katika Bunge hili la Kumi na Tatu. Nina imani kwamba wako katika mikono salama na nitakaa na wao. Tutasaidiana kwa hali na mali kuhakikisha kwamba Eneo Bunge letu la Kisauni linasonga mbele. Baada ya kunipumzisha katika Bunge la Kumi na Mbili, nashukuru kwa sababu waliniamini na wakaona kwamba wamekosa huduma zangu, na nirudi katika Bunge la Kumi na Tatu."
}