GET /api/v0.1/hansard/entries/1200025/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1200025,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1200025/?format=api",
    "text_counter": 326,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Magarini, ODM",
    "speaker_title": "Hon. Harrison Kombe",
    "speaker": null,
    "content": "Tukizungumzia hazina hii ya wachochole, ikiwa itatumika vizuri na ufisadi tuweke kando, kwa hakika vijana na akina mama wataweza kufaidi na kuwa na maendeleo. Kwa hayo machache au mengi, ninasema asante Mheshimiwa Naibu Spika, hata kwa kuweza kuniona na kunipa nafasi."
}