GET /api/v0.1/hansard/entries/1200363/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1200363,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1200363/?format=api",
    "text_counter": 115,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "The Senate Minority Leader",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": " Asante Bw. Naibu Spika. Kwanza nataka niunge mkono yote aliyosema ndugu yangu, Sen. Cheruiyot, kuhusu mjadala huu. Mjadala huu ni muhimu kwa sababu unaweza kuweka ratiba ya vile ambavyo tutaweza kufanya mambo yetu, majadiliano ndani ya Bunge hili la Senate kwa muda fulani ambao umewekwa kulingana na ratiba yetu. Bw. Naibu Spika, tunaona ya kwamba waliokuja hivi sasa katika Bunge la Senate wengi ni vijana na pia wamechanganyika na wazee kidogo. Itakuwa tena sio ile Bunge walikuwa wakisema wakati ule tulipoingia wakati wa 2013, kwamba hili ni Bunge la"
}