GET /api/v0.1/hansard/entries/1200410/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1200410,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1200410/?format=api",
"text_counter": 162,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Asante, Bw. Spika. Nilikuwa mmoja wa wale watu ambao wakati mmoja nafikiria ndugu yangu Sen. Cherarkey, ndiye alisimama na kusema kwamba sijavaa vizuri. Nilikuwa nimevaa kama ndugu yangu, Sen. Onyonka. Spika aliyekuwa wakati huo alisema ya kwamba nilikuwa nimevaa vyema. Kitu ambacho siwezi kusema ni kuwa, kulingana na ule uamuzi wako uliotoa hivi sasa, ni kwamba, mtu akivaa koti kama lile na ukasema ni sawa, naona siwezi kupinga uamuzi wako lakini ni hatari. Hii ni kwa sababu wakati mwingine watu wanaenda namna hivyo kwenye vilabu vya disko."
}