GET /api/v0.1/hansard/entries/1200490/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1200490,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1200490/?format=api",
"text_counter": 242,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kinyua",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13202,
"legal_name": "John Kinyua Nderitu",
"slug": "john-kinyua-nderitu-2"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, ninakanganywa. Sielewi anachomaanisha Sen. Faki anaposema upande wa walio wengi wachache. Sisi ni wengi. Sielewi kwa nini anasema wengi wachache. Sielewi anachomaanisha kwa kusema sisi ni wachache na ilahali u kikatiba sisi ndio wengi. Tungependa atoe maelezo. Sijui kwa nini anatukanganya."
}