GET /api/v0.1/hansard/entries/1200507/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1200507,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1200507/?format=api",
"text_counter": 259,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Mandago",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13577,
"legal_name": "Kiplagat Jackson Mandago",
"slug": "kiplagat-jackson-mandago"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, Seneta wa Mombasa anatukanganya. Amesema ‘walio wengi wachahe’, ilihali tayari ulitoa mwelekeo wakati wa uchaguzi na ukasema wazi kuwa sisi ndio wengi katika Bunge. Kwa hivyo, naomba aondoe matamshi yake kutoka kwa HANSARD."
}