GET /api/v0.1/hansard/entries/1200515/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1200515,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1200515/?format=api",
"text_counter": 267,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, kwanza ningependa kupata muongozo kama Bunge hili limetoa uamuzi kuhusiana na swala hilo. Nimekaa katika vikao vyote vya Bunge hili kutoka vianze na sijasikia Spika akitoa uamuzi kuhusiana na swala hili."
}