GET /api/v0.1/hansard/entries/1200521/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1200521,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1200521/?format=api",
    "text_counter": 273,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, wazo alilotoa Sen. Mungatana kwamba Bunge hili lipate fursa ya kujadili mambo kulingana na maslahi ya wananchi na Kenya kwa jumla, wangeenza wao kwa kuhakikisha kwamba uchaguzi wa wenyekiti wa Kamati zote ambazo ziko katika Bunge hili umegawanywa sawa."
}