GET /api/v0.1/hansard/entries/1200536/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1200536,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1200536/?format=api",
"text_counter": 288,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, kuna taa tatu pale ambazo zinatuongoza kuhusiana na mambo ya saa. Sijaona hata moja likiwashwa. Ningependa uniruhusu nimalize maelezo yangu. Sen. Mungatana ameleta swala nyeti kwamba Bunge hili lisimame na haki na usawa. Hii itaanza wakati upande wa walio wengi watakubali kuwa nguvu zetu ziko sawa kwa hivyo kamati zigawanywe kisawa. Kamati saba kwao na nane kwetu ile sote tuweze kufanya kazi pamoja. Bunge la Seneti halitafanya kazi kulingana na maslahi ya mtu mwingine. Bunge liloondoka Maseneta wa upande wa walio wengi walikuja hapa wakapiga kura na Kamati zote wakachukua. Tunaomba mwanzo mpya katika Bunge hili---"
}