GET /api/v0.1/hansard/entries/1200543/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1200543,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1200543/?format=api",
"text_counter": 295,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bw. Naibu Spika, tulikuwa na Sen. Kinyua kwenye chuo kikuu mwaka mmoja. Kwa hiyvo, hana cha kunifahamisha. Nikimalizia, swala hili la Kamati ni muhimu sana. Ningeomba Kiongozi wa walio wengi, Sen. Cheruiyot na Kiongozi wa walio wachache, Sen. Madzayo waketi chini ili waamue zile Kamati ambazo zitaongozwa baina ya pande zote mbili. Mambo ya nusu mkate itaangaliwa baadaye katika chama cha UDA."
}