GET /api/v0.1/hansard/entries/1200797/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1200797,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1200797/?format=api",
"text_counter": 200,
"type": "speech",
"speaker_name": "Mombasa CWR, ODM",
"speaker_title": "Hon. Zamzam Mohammed",
"speaker": null,
"content": "Nikirudi upande wa migration, watoto wetu wa Pwani na hasa Waislamu wanahangaishwa sana katika kila pembe. Kupata kitambulisho cha Kenya imekuwa ni donda ndugu. Wanaulizwa mpaka birth certificate za vilembwe na vilembwekeza wakati ambapo wao ni watoto waliozaliwa Kenya. Wamezaliwa katika hospitali zetu na wanajulikana. Ningeomba Rais aangalie hilo hasa kuhusu sisi Waislamu ili tusipate matatizo tunapotafuta pasipoti na vitambulisho ."
}