GET /api/v0.1/hansard/entries/1200907/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1200907,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1200907/?format=api",
"text_counter": 310,
"type": "speech",
"speaker_name": "Magarini, ODM",
"speaker_title": "Hon. Harrison Kombe",
"speaker": null,
"content": " Asante Mheshimiwa Naibu Spika na Ndugu Ichung’wah. Nachukuwa nafasi hii kwa kifupi kuwashukuru watu wa Magarini na kumpongeza Rais kwa kuchaguliwa kuongoza Jamhuri ya Kenya. Vile vile, ningetaka kuguzia machache alioyazungumzia. Kwanza, nitazungumzia kuhusu zile hela za wachochole yani hustlers’ fund. Ikiwa hiyo itapatikana na iweze kuwekwa kwa njia ya uadilifu, hakika itawasaidia vijana, akina mama, na wale wasiojiweza kujiendeleza. Pia, swala la NG-CDF litasaidia ili tuweze kuliangazia katika Katiba haraka iwezekanavyo ili watoto wetu wasibaki manyumbani. Wengi saa hizi wako nyumbani kwa sababu ya…"
}