GET /api/v0.1/hansard/entries/1201156/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1201156,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1201156/?format=api",
    "text_counter": 236,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Kwa Hoja la nidhamu, Bw. Spika wa Muda. Asante kwa kunipa fursa hii, ijapokuwa kidogo mimi ninachanganyikiwa. Nimesikia mwenzangu, Seneta akisema ya kwamba, yeye pamoja na Sen. Sifuna wako katika kamati moja, sijui ni kamati gani hiyo. Ninauliza ni kamati gani kwa sababu jambo lenyewe halijazungumziwa hapa na kupitishwa."
}