GET /api/v0.1/hansard/entries/1201230/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1201230,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1201230/?format=api",
    "text_counter": 310,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Shakila Abdalla",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 380,
        "legal_name": "Shakila Abdalla",
        "slug": "shakila-abdalla"
    },
    "content": "Jambo jingine ni swala la Genetically Modified Organisms (GMOs). Kwa kawaida, watu hupanda mbegu na kuvuna kisha kupanda mbegu zitokanazo na mazao. Kwa upande mwingine, mbegu za GMOs hutumika mara moja tu. Ifikapo mwakani, utahitaji mbegu nyingine tena. Kwa hivyo, hiyo ni hasara kwa sababu watu watahitaji mbegu za GMOs. Mbegu za kawaida hupandwa na mtu anapovuna huweza kupanda tena mbegu zitokanazo na mazao yake. Mbegu za GMOs ni one-off deal."
}