GET /api/v0.1/hansard/entries/1201303/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1201303,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1201303/?format=api",
    "text_counter": 383,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13585,
        "legal_name": "Murango James Kamau",
        "slug": "murango-james-kamau"
    },
    "content": "Asante Bw. Naibu wa Spika kwa kunipa nafasi hii ili nizungumze kidigo kuhusu hotuba ya Rais Katika Bunge la 13. Kwa Kiswahili, kuna wahusika wakuu na wale wa kupachikwa. Nilipoangalia nakala ya hotuba ya Rais, niliona inawiana kabisa na manifesto ya Kenya Kwanza tuliyokuwa nayo. Kwa hivyo, sisi ni wahusika wakuu. Ninampa kongole Rais kwa hotuba na kauli zake Kwanza, nitaanza na kilimo. Ninatoka katika Kaunti ya Kirinyaga ambako tunalima mpunga. Huu ndio mradi mkubwa zaidi humu nchini na hata kote barani Afrika. Hapa nchini pia tuko na miradi mingine kama vile Bura, Tana, Perkerra, Bunyala na West Kano. Iwapo tunataka tuwe na chakula katika nchi hii, lazima tufanye mambo kadhaa. Kitu cha kwanza ni kufanya value addition. Katika maeneo ya Mwea ambako wanakuza nyanya, sanduku moja ya nyanya ambayo ni kilo 60---"
}