GET /api/v0.1/hansard/entries/1201307/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1201307,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1201307/?format=api",
"text_counter": 387,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bw. Naibu wa Spika, singependa kumhujumu ndugu yangu, Sen. (Dr.) Murango ambaye anazungumza Kiswahili kwa ufasaha. Hata hivyo, ninasikitika kwamba anasoma mchango wake. Ameangalia hivi chini anasoma wala hata haangalii iwapo Naibu wa Spika kama anasikiliza au hasililizi. Hivyo si sawa."
}