GET /api/v0.1/hansard/entries/1201312/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1201312,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1201312/?format=api",
"text_counter": 392,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. (Dr.) Murango",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13585,
"legal_name": "Murango James Kamau",
"slug": "murango-james-kamau"
},
"content": "Mimi sisomi chochote lakini niko na nakala ya hotuba ya Rais, ambayo ninafuatilia kwa makini. Bw. Naibu wa Spika kuna mambo kadhaa ambayo nilikuwa nimeyaongelea na nilianza na Kilimo. Nilikuwa nimesema nimetoka Kaunti ya Kirinyaga, ambako kilimo ndilo jambo ambalo wakulima wanafanya kila siku. Huko kunakuzwa kahawa, mchele, majani chai na pia ukulima wa samaki na vitu vinginezo. Asubuhi ya leo nimepita soko la Makutano na sanduku moja la nyanya ambalo ni kilo 60, ni Kshs1,500. Kama tungefanya"
}