GET /api/v0.1/hansard/entries/1201327/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1201327,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1201327/?format=api",
    "text_counter": 407,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Bw. Naibu Spika, naunga Hoja hii mkono kwa sababu ya muda. Kila Seneta ambaye yuko hapa anataka kuchangia na kusema mambo machache kuhusu Hotuba ya Rais ambayo ilikua ya kufana. Wakenya wote waliufurahia na hio ndio maana maseneta wote waliohapa wanataka kuchangia Hoja hii na kuleta maneno yao yaweze kusikizwa."
}