GET /api/v0.1/hansard/entries/1201414/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1201414,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1201414/?format=api",
    "text_counter": 494,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Mwaruma",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13223,
        "legal_name": "Johnes Mwashushe Mwaruma",
        "slug": "johnes-mwashushe-mwaruma"
    },
    "content": "Hatuoni sababu gani viwanja vya ndege vya kimatiafa vya Moi, Malindi na Kisumu haviwezi kuruhusiwa kupokea ndege za kigeni kulingana na ile tunaita ‘ openskies policy’ . Hatuwezi kuendelea kama Afrika iwapo tumefunga njia, anga na bandari zetu na hatuwezi kupokea. Mhe. Spika wa Muda, bandari ya Mombasa hupokea maelfu ya meli kila mwaka. Meli hizi zinatoka nchi za kigeni zinaleta mizigo na kubebe mingine kutoka Mombasa. Hatuoni sababu ya Uwanja wa Moi Mombasa kutotumika kwa swala hilo."
}