GET /api/v0.1/hansard/entries/1201473/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1201473,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1201473/?format=api",
    "text_counter": 553,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Pia aligusia mambo ya kilimo. Jimbo letu la Embu, tunategemea miraa, majani chai, kahawa na maziwa. Tukipata mabawa ya maji katika jimbo la Embu. Wakulima wa miraa wanafanya kazi nzuri. Hii itatuwezesha kuuza mazao yetu ng’ambo."
}