GET /api/v0.1/hansard/entries/1201926/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1201926,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1201926/?format=api",
"text_counter": 180,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Ni mikakati ipi ama mipangilio gani ambayo Serikali itaiweka ambayo inaweza kusaidia wale watu wanaoishi katika zile sehemu za ukame na wanaoathiriwa na janga la njaa. Tungependa kujua pia mikakati iliopo katika sehemu ambazo watu wanaweka mifugo ilikuhakikisha ya kwamba ile mifugo itaweza kusalimika katika ile hali ngumu wanaoipitia."
}