GET /api/v0.1/hansard/entries/1201929/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1201929,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1201929/?format=api",
"text_counter": 183,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "The Senate Minority Leader",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Kuna mambo mengi ambayo Mhe. Rais alisema atayaangalia katika hotuba yake. Alisema ya kwamba ataweka mikakati ya kuboresha uchumi wetu. Tunataka taifa kuwa na uchumi dhabiti ndio watu waishi bila njaa. Tunataka taifa ambalo linahakikisha kwamba watu wanaoishi kwenye maeneo ya ukame wanapata maji kisawasawa ili kila mtu aweze kufaidi kama Serikali yake iko tayari. Asante, Bw. Spika."
}