GET /api/v0.1/hansard/entries/1202211/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1202211,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1202211/?format=api",
"text_counter": 102,
"type": "speech",
"speaker_name": "Jomvu, ODM",
"speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
"speaker": null,
"content": "Mhe. Spika, katika kipengele cha 33, Rais amezungumzia mambo ya huduma za afya. Jambo hili ni muhimu kuwa Serikali itoe huduma za afya kwa wote. Saa hii tuna karibu takribani Kshs9 million ama Kshs10 million ya CDF ambayo tunapelekaa kwa National Health Insurance Fund (NHIF). Vile vile, tunaangalia pesa hizi zinatumika kwa kaunti. Ni muhimu Serikali iangalie kama haya mambo yabaki katika kaunti zetu ili kuwahudumia watu wetu."
}