GET /api/v0.1/hansard/entries/1202212/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1202212,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1202212/?format=api",
"text_counter": 103,
"type": "speech",
"speaker_name": "Jomvu, ODM",
"speaker_title": "Hon. Bady Twalib",
"speaker": null,
"content": "Rais amesema atahakikisha kwamba huduma imepata pesa ili iweze kulipa madeni. Leo nimesimama mbele yako hapa na deni moja ambalo mimi Mjumbe wa Jomvu niko nalo kwa Serikali ya Kenya. Hili ni kwa watu wangu wa Owino Uhuru ambao Serikali ilisema walipwe The electronic version of the Official Hansard Report is for informationpurposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}