GET /api/v0.1/hansard/entries/1202355/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1202355,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1202355/?format=api",
"text_counter": 246,
"type": "speech",
"speaker_name": "Nyali, UDA",
"speaker_title": "Hon. Mohamed Ali",
"speaker": null,
"content": "Nikirejelea katika Hotuba ya Rais, ni kwamba, kilele cha hotuba yake kilikuwa ni maswala ya uchumi, ambalo limekuwa donda sugu tangu serikali iliyokuwa mamlakani kuondoka, na serikali ya sasa ya wananchi ambayo inataka kutatua maswala ya uchumi kuipatia kipauumbele na kuhakikisha kwamba bei ya bidhaa, hususan chakula, zitaweza kutafutiwa mbinu mahususi na kuweza kuziregesha katika hali yake ya zamani. Rais aliguzia maswala ya deni, ushuru, uwekezaji na kutoa mfano, si katika Bunge la Taifa peke yake, bali hata hapo nje katika shughuli zake za ujenzi wa Taifa. Rais alisema kwamba angependa kuona nchi hii ikiekeza ili Wakenya wasiweze tena kuenda kuomba pesa The electronic version of the Official Hansard Report is for informationpurposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}