GET /api/v0.1/hansard/entries/1203676/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1203676,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1203676/?format=api",
    "text_counter": 129,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Bw. Spika, siwezi kufanya hivyo. Siwezi kufanya namna hivyo wala kusema kitu kama hicho lakini najua binadamu sio kamili. Pengine umepitiliwa na hukuona kama alikuwa amefinya hicho kidole. Sina shida na yale aliyotamka ndugu yangu Sen. Khalwale. Asante Bw. Spika."
}