GET /api/v0.1/hansard/entries/1203767/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1203767,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1203767/?format=api",
"text_counter": 220,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Bw. Spika, hata Rais wa hustlers amesema kwamba ataiendesha nchi kwa sheria na Katiba. Tayari wameshaanza kuikiuka Katiba. Hapa katika Bunge hili, tunaruhusu watu wanajisi Katiba. Hiyo siyo sawa. Usawa ni kwamba, ikiwa Sen. Ali Roba na chama chake wamekosana na Orange Democratic Movement (ODM), wakae pale walipo mpaka Mahakama au Registrar of Political Parties waseme kwamba hawako tena pamoja. Talaka likishapita, hakutakuwa tena na mazungumzo. Sisi pia katika ODM tutuaona kuwa hamnna haja ya kuwa na bibi ambaye hataki hiyo uhusiano. Sisi pia kama"
}