GET /api/v0.1/hansard/entries/1203771/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1203771,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1203771/?format=api",
    "text_counter": 224,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Bw. Spika, Sen. Cheruiyot alizungumza maswala ya rumour mongering . Swala lililokuwepo lilikuwa ni la kikatiba ambalo lazima litatuliwe kabla ya kusonga mbele. Swala hili litarejea pale. Tutazunguka mzunguko na hatutoki. Sen. M. Kajwang’ alipendekeza ya kwamba jina la Sen. Ali Roba liondolewa, kwa sasa, katika Kamati hilo mpaka wakati atakaposahihisha mambo yake ndipo arejee katika Kamati hilo. Asante, Bw. Spika."
}