GET /api/v0.1/hansard/entries/1203838/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1203838,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1203838/?format=api",
"text_counter": 291,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Madzayo",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 679,
"legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
"slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
},
"content": "Bw. Spika, Bunge la Seneti ni la hali ya juu kwa sababu ya taratibu zake za debate. Ninakusihi uangalie hii barua iliyoandikwa na Bi. Anne Njeri Nderitu ambaye ni Registrar of Political Parties. Hii barua iliandikwa tarehe 7 Septemba, 2022. Iliandikiwa Clerk wa Seneti. Barua hii inahusikana na ile barua ambayo yeye alikuwa amepeleka tarehe 6 Septemba, 2022 akitaka kujua vyama viko upande gani. Hii barua inasema kwamba UDM–"
}