GET /api/v0.1/hansard/entries/1203845/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1203845,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1203845/?format=api",
    "text_counter": 298,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Madzayo",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 679,
        "legal_name": "Stewart Mwachiru Shadrack Madzayo",
        "slug": "stewart-mwachiru-shadrack-madzayo"
    },
    "content": "Barua iko wazi. Uko na uwezo wa kumwambia Clerk ailete hii barua na kuiweka mbele ya Bunge la Seneti ili kila mtu aone Sen. Ali Roba yuko mahali gani. Hatutakubali Sen. Ali Roba awe anazunguka kila pande. Barua hii inakamilisha. Inasema kwamba Sen. Ali Roba ni mwanachama wa upande huu. Hawezi kwenda upande ule na wewe ukatia tiki. Sen. Ali Roba amesimama hapa na kukumislead. Hii ni kosa kubwa sana ndani ya hili Bunge."
}