GET /api/v0.1/hansard/entries/1203922/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1203922,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1203922/?format=api",
    "text_counter": 375,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Faki",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13211,
        "legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
        "slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
    },
    "content": "Nimeona baadhi ya Maseneta wakiinua mikono ni kama tuko kwenye darasa. Mwongozo uliotolewa mapema na Spika ulikuwa kwamba kama unataka kuongea ama kuchangia Hoja iliyoko kwenye meza, ni lazima ubonyeze kidude kilichoandikwa ‘ microphone.’ Nimeona Sen. Tabitha Keroche akipata shida. Anainua mkono akiregesha. Juzi tulipokuwa Nakuru County alitukaribisha vizuri sana. Kwa hivyo, nasikitika kwamba hajaweza kupata utaalamu na nafikiri hasaidiki pale. Mimi nimekaa na Sen. Betty Montet na Profesa na ninawaongoza jinsi ya kuchangia. Mimi nashangaa kwamba Sen. Tabitha Keroche, Deputy Minority Leader, ameshindwa kujieleza."
}