GET /api/v0.1/hansard/entries/1203947/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1203947,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1203947/?format=api",
    "text_counter": 400,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Leo hii ni mchana na yule haoni ajue ya kwamba kuna mwangaza. Seneta ambaye tunampeleka mahakamani amejitetea akasema ya kwamba anataka kuwa kwa walio wengi. Hiyo ni kama kusema ya kwamba walio wachache wako na macho lakini hawaoni. Pahali pengine ni kama kumaniisha---"
}