GET /api/v0.1/hansard/entries/1203949/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1203949,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1203949/?format=api",
    "text_counter": 402,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Munyi Mundigi",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Bw. Spika, katika Biblia, kuna hadithi ya kina mama wawili waliopigania mtoto. Mfalme alipowauliza jinsi wangependa aamue kesi, mmoja alisema kuwa mtoto huyo akatwe vipande viwili. Mwingine naye alinyamaza kwanza. Bw. Spika, tunakuomba ukate kauli kwa njia inayofaa. “Mtoto” amesema upande aliko, nasi tulio wengi tumenyamaza. Kwa hivyo “mtoto” ni wetu. Tumekuwa hapa kwa muda huu wote na tunaomba utuangalie. Naunga mkono Hoja hii."
}