GET /api/v0.1/hansard/entries/1204010/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1204010,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1204010/?format=api",
"text_counter": 463,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kibwana",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 277,
"legal_name": "Kibwana Kivutha",
"slug": "kibwana-kivutha"
},
"content": "Asante, Bw. Spika. Naomba kupinga Hoja hii mara tatu. Kiislamu, kakangu, Sen. Ali Roba, talaka ni tatu. Harusi bado haijaiva vizuri na ushapeana talaka ya kwanza. Kwa hivyo, kuna talaka ya pili na ya tatu. Kaka, njoo tumalize harusi, ukamilishe mambo yako, ndio tujue kama utapeana talaka ya pili na ya tatu."
}