GET /api/v0.1/hansard/entries/1204064/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1204064,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1204064/?format=api",
"text_counter": 517,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Faki",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13211,
"legal_name": "Mohamed Faki Mwinyihaji",
"slug": "mohamed-faki-mwinyihaji-2"
},
"content": "Nakubaliana na ndugu yangu Sen. M. Kajwang’ kwamba tunataka kufanya mambo kisawasawa. Hatujakataa kuchaguliwa Seneta mwengine yoyote. Kile tunachosema ni kwamba ni haramu Sen. Ali Roba na chama chake cha UDM kuwa katika Kamati hii."
}