GET /api/v0.1/hansard/entries/1208158/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1208158,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1208158/?format=api",
"text_counter": 146,
"type": "speech",
"speaker_name": "Matuga, ANC",
"speaker_title": "Hon. Kassim Tandaza",
"speaker": null,
"content": " Asante sana, Mhe. Spika wa Muda. Kwanza ningependa kutoa shukrani kwa kamati husika kwa kuja na mwongozo mwafaka vile mali ya Umma itatumika kwa manufaa ya nchi yetu. Kwanza, masikitiko yangu ni hili neno ‘mali ya Umma’ ambalo hutumika kila tukizungumzia miradi ambayo ni ya Umma ama public kwa kimombo. Mara nyingi wanaohusika hawaichukulii kama ni miradi ambayo wao pia inawahusu. Kwa muda mrefu tumekuwa tukifikiria mali ya Umma ni mali ambayo haina mwenyewe. Kwamba ni ya kufujwa na kila mtu anaweza kuifanyia atakavyo. Katika mwongozo huu ambao umetolewa na hii kamati, tungeanza na wale wanaohusika na kutia The electronic version of the Official Hansard Report is for informationpurposes only. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor."
}