GET /api/v0.1/hansard/entries/1208609/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1208609,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1208609/?format=api",
    "text_counter": 384,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kinyua",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13202,
        "legal_name": "John Kinyua Nderitu",
        "slug": "john-kinyua-nderitu-2"
    },
    "content": "Bw. Spika, nanikushukuru kwa kunipa fursa hii. Mimi nasimama kuunga mkono Kamati. Kisa na maana ni kuwa Kamati itaangazia kwa undani shutuma dhidi ya Gavana wa Kaunti ya Meru. Mimi nimekuwa hapa kuanzia muhula uliopita wakati tulijadili suala la kumuodoa gavana mamlakani kwa njia ya Seneti Nzima. Nilihisi wakati huo hatukuweza kuangazia shutuma dhidi ya gavana huyo kwa undani. Kwa hivyo, leo naunga mkono Kamati kwa sababu walioteuliwa ni Maseneta ambao ni wazoefu katika kazi zao. Kamati hiyo iko na Maseneta ambao walikuwa magavana hapo awali kama Sen. Mandago na Sen. Roba. Hao ni viongozi ambao walibobea katika kazi ya ugavana. Kwa hivyo, masuala yatakayokuwa yakizungumziwa katika Kamati hii wataweza kuyafahamu kwa undani. Nimesikia hapa kulikuwa na vurugu kidogo kwa sababu Maseneta wa kike wengi hawakujumuishwa katika Kamati hii. Itaonekana sisi hatufahamu mambo vizuri kwa sababu Maseneta walio hapa wa kike wamejumuishwa. Angalia Sen. Tobiko amewekwa pale na yeye ni mzoefu. Amekuwa katika siasa miaka mingi. Tuna Seneta Esther na Sen. Kavindu. Hawa ni viongozi ambao wataweza kuyachanganua masuala haya kwa undani. Hawatakuwa wakiangalia mambo ya jinsia. Watachangua kwa udani tuhuma dhidi ya Gavana wa Meru. Hawa wanakamati watakuwa wakiangalia kwa undani na upana watu wa Meru wangetaka nini kwa sababu ndio walimchagua Gavana wao wakati"
}