GET /api/v0.1/hansard/entries/1208724/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1208724,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1208724/?format=api",
    "text_counter": 499,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Kavindu Muthama",
    "speaker_title": "",
    "speaker": {
        "id": 13733,
        "legal_name": "Agnes Kavindu Muthama",
        "slug": "agnes-kavindu-muthama"
    },
    "content": "Asante Bw. Spika kwa kunipa fursa kuunga mkono Hoja hii. Ninaamini ya kwamba watu wachache wakitizama na kujadiliana jambo, wana uwezo mkubwa kuliko watu wengi. Kwa mfano, unaweza kuwapa watu wengi kazi na wafanye kazi kidogo lakini ukiwapa watu wachache, watafanya kazi nzuri."
}