GET /api/v0.1/hansard/entries/1208725/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1208725,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1208725/?format=api",
"text_counter": 500,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Kavindu Muthama",
"speaker_title": "",
"speaker": {
"id": 13733,
"legal_name": "Agnes Kavindu Muthama",
"slug": "agnes-kavindu-muthama"
},
"content": "Ninaahidi Seneta kwamba hatutakuwa na mapendeleo. Nimo katika Kamati hiyo na ninatoa hakikisho kwamba tutafanya kazi kwa uwazi na usawa, tukijua sisi ni watetezi wa ugatuzi, magavana, wananchi na mambo yote yanayotendeka katika kaunti. Hatutaegemea upande mmoja. Tutaangalia usawa na kufanya kazi vile inatakikana."
}