GET /api/v0.1/hansard/entries/1208727/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1208727,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1208727/?format=api",
"text_counter": 502,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Miraj",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Bw. Spika, ninasimama kuunga mkono Hoja ya Kiongozi wa Walio Wengi, kwamba tutumie Kamati Maalum kuamua jambo hili. Vile vile, ninachukua fursa hii kutoa hakikisho langu kama mwakilishi maalum wa kike katika Bunge la Seneti."
}