GET /api/v0.1/hansard/entries/1208729/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept
{
"id": 1208729,
"url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1208729/?format=api",
"text_counter": 504,
"type": "speech",
"speaker_name": "Sen. Miraj",
"speaker_title": "",
"speaker": null,
"content": "Tunazungumza kutaka tu kuonyesha ubabe, lakini lazima tuangalie nchi yetu inaelekea wapi kimsingi, upande wa uwakilishi wa kike. Tumeambiwa ya kwamba hata kama tungepata fursa ya kuwa kwenye Kamati hiyo, hatungekuwa na sauti ya kupiga kura. Ninawaambia akina mama ambao wanafuatilia hili Bunge leo, kungekuwa na hoja za kijinsia katika haya malalamishi dhidi ya Gavana Kawira, sisi akina mama tungekuwa na kura tatu pekee."
}