GET /api/v0.1/hansard/entries/1208730/?format=api
HTTP 200 OK
Allow: GET, PUT, PATCH, DELETE, HEAD, OPTIONS
Content-Type: application/json
Vary: Accept

{
    "id": 1208730,
    "url": "https://info.mzalendo.com/api/v0.1/hansard/entries/1208730/?format=api",
    "text_counter": 505,
    "type": "speech",
    "speaker_name": "Sen. Miraj",
    "speaker_title": "",
    "speaker": null,
    "content": "Ninawajulisha akina mama kwamba tunapokuja kuwaomba kura, msione eti tunataka tu kuja hapa kuketi katika Bunge hili. Tunawaomba mtupe sauti na nguvu ili wakati kama huu ukifika, tuweze kutoa sauti zetu zisikike. Sisemi hivi kwa sababu Gavana Kawira ni mwanamke. Ni kwa sababu ya kusimamia haki yake. Yale maneno yaliyozungumzwa kwa mitandao ya kijamii na yale yanayoendelea katika vyombo vya habari, ni wazi ya kwamba ameshtumiwa kwa sababu ni mwanamke. Kwa sababu niko hapa na nimeambiwa sitapiga kura, ninaunga mkono Hoja hii. Kwa wale wanawake watatu ambao wamepata fursa, ninawasihi kwamba msimwangalie kama mama bali muangalieni kama mama aliyepigiwa kura na wananchi na mzilinde---"
}